Number One
Rayvanny Ft Zuchu
Genres:
Moods:
Languages:
Wiki:
Lyrics:
[Verse 1: Rayvanny] Macho yalikuona, moyo ukakuchagua Mdomo ukasema nakupenda aah Mwambie umepona alokutesa moyo kuusumbua Maumivu yamekwenda Mi ni zawadi nilopewa Macho nipepese wapi Mi kipofu kwako sioni Penzi limetaratadi, napepewa Harufu ya marashirashi Nikitouch touch shingoni [Pre-Chorus: Rayvanny] Uvae baibui khanga Viatu vya kuchuchumia kangaroo Kisima tui tanga We huba nifukizia pambe tu Ukizungushia shanga Inashuka inapanda chini juu Nishatafuna karanga Sasa chumba ndo kiwanda watoto tu iyee iyee [Chorus: Rayvanny] Number one, you're my number one Number one, you're my only one Number one, you're my number one Number one, you're my only one [Bridge: Zuchu] Lalala, la la la La- la-la mmmh [Verse 2: Zuchu] Hausukumi damu moyo Unasukuma upendo wangu Niko mahabani mambo sawa (Sawaa) Penzi nalimung'unya kibogoyo Nimepata size yangu Yaani nalioga sio kunawa (Nawaa) Filimbi nitapuliza Kuita ndege wajе Raha zimefululiza Kwako natokaje? Hadi Bububu umepitiliza Tuko kwa bibi Pajе Taratibu unaniliza baba [Pre-Chorus: Zuchu] Tulivuruge varanga Chimeneza kunengua kwangaru Nikiandae kitanda Shuka za maua ua ya marooon Kisha tugonge na venta Mambo ya kujizimua na varu Nifunge upande khanga Babu Juma we kwarua kwa kwaru [Chorus: Rayvanny & Zuchu] Ooh baby you are my... Number one, you're my number one (My one and only) Number one, you're my only one Baby my (number one) Baby my (you're my number one) Aiaah oooh oooh Number one, you're my only one [Outro: Rayvanny] Penzi limetaratadi, napepewa Harufu ya marashirashi Nikitouch touch shingoni