Roberta
Kaoma Lambada Chico
Most played on:
Genres:
Moods:
Languages:
Wiki:
Lyrics:
[Intro: Khaligraph Jones] Big shout out to Vince on the beat by the way Wapi kamnyweso? Wapi kamnyweso? Wapi kamnyweso? Wapi kamnyweso? [Verse 1: Khaligraph Jones] Hii ngoma nimefanyia maboy na madiva (Woo) Upende usipende huwezi avoid hawa manigga (Jones) Ukinipatia mboka siku enjoy namaliza Manze ni Omollo jo na mtoi wa Hadijah Na mi no need to prove no point for the media Go ahead and light a joint for this feature (Shhh) Rada sikutafta coins ni mamita Na peng ting ka si Wambui ni Anita Kanairo wamenibandika jina sonko Kogalo massive, hii ligi mi ndio nacontrol Odi dance sitambui sijui azonto Na tumbler itashikwa aje bila Okonkwo? Na kila nikichunisha debe wanaturn face (Woo) Utadhani wameona manjege au masanse (What?) Niko zabe juu ya veve na machampez Haters nawapea headache vile narun place [Pre-Chorus: Khaligraph Jones] Nasema mi dakitari ogopa hii kambi my crew Kazi yetu ni kushinda nikuparty 'cause this my life and my rules Tumeshika mtaaani kwa ghetto Majengo hadi Soweto Kanashika leo mpaka kesho Mr Tumbler wapi kamnyweso? Kamnyweso, kamnyweso [Chorus: Khaligraph Jones] Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?) Kamnyweso (Wapi kamnyweso?) Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?) Kamnyweso (Wapi kamnyweso?) Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?) Kamnyweso (Wapi kamnyweso?) Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?) Kamnyweso (Wapi kamnyweso?) [Verse 2: Mejja & Khaligraph Jones] You didn't know Okonkwo can spit another lingo And I make it look simple I'm a G in this shit, just living it up I got many flows, let me switch it up Umeshtuka mi sikai eh? Na kizungu aki walai Ni mwisho wa mwezi najidai Leo nakunywa chupa sikunywi ndivai Hio sherehe tunapiga place ya nguvu (Uh) Mahali pombe inaserviwa na tunjugu (Yo) Aki ya nani leo nikishika mutu (Ayy) My chick, ataenda kuku Lamba chupa ukilamba mtu Tupa lugha kamata mutu (Yo) Chuma nzuri hainanga kutu Ayo Okonkwo, ebu roga watu Uh, I keep it one hundred Me and OG we blowing this money Yeah, you know we run this streets You know we killin this shit, level up [Pre-Chorus: Khaligraph Jones] Nasema mi daktari ogopa hii kambi my crew Kazi yetu ni kushinda nikuparty 'cause this my life and my rules Tumeshika mtaaani kwa ghetto Majengo hadi Soweto Kanashika leo mpaka kesho Mr Tumbler wapi kamnyweso? Kamnyweso, kamnyweso [Chorus] Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?) Kamnyweso (Wapi kamnyweso?) Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?) Kamnyweso (Wapi kamnyweso?) Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?) Kamnyweso (Wapi kamnyweso?) Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?) Kamnyweso (Wapi kamnyweso?) [Bridge: Khaligraph Jones] Nasema leo, form yetu kamnyweso (Ayy) Na kama zimekushika basi weka yako juu (Weka yako juu) Nasema leo form yetu kamnyweso (Ayy) Ka zimekubamba basi inua yako juu (Inua yako juu) Woo!